Covid-19

Covid-19Innehållet gäller Stockholms län

Other languages

Visa innehåll som:

Chanjo dhidi ya Covid-19

Så bokar du vaccination mot covid-19

Mkoa wa Stockholm hutoa huduma ya chanjo kwa wakazi wote wenye miaka 18 na kuendelea kwa mwendo unaowezekana kutokana na upatatikanaji wa chanjo. Chanjo zitasaidia kupunguza maambukizi kuenea na hivyo kupunguza hatari za kuugua vibaya na kufa. Kwa hiyo ni muhimu watu wengi iwezekanavyo wachague kupata chanjo.

Till toppen av sidan