Chanjo dhidi ya Covid-19

Så bokar du vaccination mot covid-19Innehållet gäller Stockholms län

Mkoa wa Stockholm hutoa huduma ya chanjo kwa wakazi wote wenye miaka 12 na kuendelea kwa mwendo unaowezekana kutokana na upatatikanaji wa chanjo. Chanjo zitasaidia kupunguza maambukizi kuenea na hivyo kupunguza hatari za kuugua vibaya na kufa. Kwa hiyo ni muhimu watu wengi iwezekanavyo wachague kupata chanjo.

Ukiwa na kitambulisho cha benki (bank-id) na namba ya utambulisho binafsi unaweza kuweka miadi kupitia zana tumizi (app) Alltid öppet (Kiswidi na kiingereza).

Huna namba ya utambulisho binafsi? Wendea Kituo cha afya ili wakusaidie.

Ukiwa na namba ya utambulisho binafsi lakina huna bank-id unaweza kuweka miadi kupitia simu:

  • Kiswidi 08-428 429 30
  • Kiingereza  08-428 429 20
  • Kiarabu 08-428 429 01
  • Kifini 08-428 429 03
  • Kifarsi 08-428 429 08
  • Kipoland 08-428 429 09
  • Kirusi 08-428 429 11
  • Kisomali 08-428 429 02
  • Kihispania 08-428 429 12
  • Kitigrinja 08-428 429 04

 

 

 

Till toppen av sidan